Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog
jogoonews.over-blog.com

news,sport,footbal,video,picture,comedy,ubbuyu,vichekesho,habari,taaria,breaking news

Top posts

 • Kwaher fc barcelona

  21 April 2017

  Timu ya Juventus imeweza kucheza mpira safi wa kujihami na kufanikiwa kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuilazimisha sare tasa Barcelona katika dimba la Nou Camp. Ikiwa ishafungwa 3-0 katika mchezo wa awali, Barcelona ilishindwa...

 • Monaco fc to sermi final draw!

  21 April 2017

  Monaco imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza 2004, baada ya kucheza mchezo safi wa marudiano dhidi ya Borussia Dortmund na kuibuka na ushindi wa magoli 3-1. Monaco ikiwa na matokeo ya magoli 3-2 katika mchezo wa kwanza,...

 • Masogange tena

  21 April 2017

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imetoa hati ya kukamatwa Agnes Gerald Waya maarufu kama Agnes Masogange (28) baada ya kushindwa kwa mara ya pili kufika mahakamani wakati kesi yake ikipangwa kutajwa. Upande wa Jamhuri ulimwambia Hakimu...

 • Mambo Yanayosababisha gari kula mafuta mengi

  21 April 2017

  Mafuta ni kimiminika muhimu kuliko vitu vyote katika gari. Ili gari liweze kufanya shughuli zake zilizokusudiwa ni lazima liwe na mafuta. Uwepo wa mafuta hulifanya gari kutekeleza majukumu yake kama vile kuiwezesha mifumo mbalimbali ya gari kufanya kazi...

 • Madhara ya kutokuka chakula milo yote

  21 April 2017

  Watu wengi, hasa wanawake wanaamini kuwa ili upunguze uzito wa mwili kwa urahisi na kwa haraka zaidi ama kubakia katika umbo zuri na lenye mvuto ni lazima kuruka mlo mmojawapo kati ya Chai ya asubuhi, chakula cha mchana, au chakula cha jioni. Kwa mujibu...

 • Nafasi za kazi

  21 April 2017

  Bongo5 Media Group, inakutangazia nafasi za kazi zifuatazo; 1. MHARIRI (nafasi 2). Sifa: -Awe na Shahada (degree) ya Uandishi wa Habari kutoka chuo chochote kinachotambulika na Serikali. -Awe kwenye kazi ya Uandishi wa Habari kwa mfululizo kwa kipindi...

 • Madhara ya kutokulala usingizi wa kutosha

  21 April 2017

  Kulala ni muhimu kwa mwili kama ilivyo kupumua. Unapokuwa umelala, ubongo wako hushughulika na afya yako ya mwili na akili ili ukuandaa kwa siku inayofuata. kwa watoto na vijana, homoni ambazo huchochea ukuaji huachiliwsa na mwili wanapokuwa wamelala....

 • Published from Overblog

  21 April 2017

  karibuni nyoote