Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
jogoonews.over-blog.com

news,sport,footbal,video,picture,comedy,ubbuyu,vichekesho,habari,taaria,breaking news

Monaco fc to sermi final draw!

Monaco imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza 2004, baada ya kucheza mchezo safi wa marudiano dhidi ya Borussia Dortmund na kuibuka na ushindi wa magoli 3-1.


Monaco ikiwa na matokeo ya magoli 3-2 katika mchezo wa kwanza, ilipata goli lake la kwanza kupitia kwa kinda Kylian Mbappe na kisha baadaye Radamel Falcao akaongeza goli la pili.


Dortmund ilimuingiza mshambuliaji wake Ousmane Dembele na ilikuwa jitihada za mchezaji huyo mwenye miaka 19 zilizomfanya Marco Reus kufunga goli kabla ya Valere Germain kutupia la tatu.                            Kinda Kylian Mbappe akifunga goli la kwanza katika mchezo huo 
                       Radamel Falcao akiifungia Monaco goli la pili kwa mpira wa kichwa

Monaco imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza 2004, baada ya kucheza mchezo safi wa marudiano dhidi ya Borussia Dortmund na kuibuka na ushindi wa magoli 3-1. Monaco ikiwa na matokeo ya magoli 3-2 katika mchezo wa kwanza, ilipata goli lake la kwanza kupitia kwa kinda Kylian Mbappe na kisha baadaye Radamel Falcao akaongeza goli la pili. Dortmund ilimuingiza mshambuliaji wake Ousmane Dembele na ilikuwa jitihada za mchezaji huyo mwenye miaka 19 zilizomfanya Marco Reus kufunga goli kabla ya Valere Germain kutupia la tatu.                              Kinda Kylian Mbappe akifunga goli la kwanza katika mchezo huo                          Radamel Falcao akiifungia Monaco goli la pili kwa mpira wa kichwa

Share this post
Repost0
To be informed of the latest articles, subscribe:
Comment on this post